album cover
Impossible
1662
Hip-Hop/Rap
Impossible foi lançado em 10 de maio de 2024 por Rasco Sembo como parte do álbum Impossible - Single
album cover
Data de lançamento10 de maio de 2024
EditoraRasco Sembo
Melodicidade
Acústica
Valência
Dançabilidade
Energia
BPM89

Vídeo de música

Vídeo de música

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Rasco sembo
Rasco sembo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
NORASCO NOVATH
NORASCO NOVATH
Songwriter

Letra

Maisha magumu na bado siachi haso
Na my dream nikupata nitakacho
Nimejifunza mwanaume kula kwa jasho
Ila kuwaza kuiba kwa kukaba (imposble
Wazazi wanauliza ntaoa lini
Na mimi nawaza mjini ntakula nini
Maisha magumu sina kazi apa mjini
Au nimpe mtu mimba nimkatae imposble
Kupata kazi imekua kazi kupata kazi
Kutafuta kazi imekua kazi kufanya kazi
Sometimes nawaza kuvunja nazi
Au niroge mtu nimtoe kafara imposble
Life iliniganda ikanikamata
Nikaiwaza bongo move kama lamata
Japo wazazi ndoto zao niwe samata
Na mi kufanya kitu nsichopenda
Nkweli mbuzi inakula kwa urefu wa kama
Ila mkukima anakula kwa urefu wa shamba
Nimefunzwa kutafuta siyo kudanga
Kurusha ngumi visu na mapanga
Nishachoka dharau
Nishachoka nahau
Nishachoka kuomba omba watu wanaoniona jau
Kweli naitamani dau
Ila kugeuza mwanaume kinyume chake imposble
Wengi mnanijua siyo kunifahamu
Msiandikie mate niwape kalamu
Namwamini mungu siyo binadamu
Eti Niende kwa mganga ndo nifanikiwe imposble
Kila siku naomba na kusali
Naitafuta pesa jua kali
Japo vishawishi juu ya dali
Kisa njaa nikamwabudu shetani
mapenzi ya sikuhizi siyo kitu
Ni kama nyasi kwa msitu
Naheshimu utu siyo mtu
Kisa sina pesa ndo nidharauliwe
Nishanyimwa msosi
Nikaona mikosi
Na wala sikuforce
Kisa kuitwa boss
Nishatembea na box
Peku bila sokis
Na mimi siyo mtoto wa kishua
Ila mi ni mtoto wa mlalakua
Nishakula msoto hadi kwenye mvua
Ila Kuzikimbia changamoto
Nyumbani nilidata ka msukule
Japo sikusoma mjini iligeuka shule
Japo somo la mapenzi sikutoka bure
Dem wangu atumiwe pesa na sponsa ndiyo tule
Ni kweli naupenda mziki
Ila siyo kudharau mashabiki
Wengi wanasema ntafute kiki
Nipost picha za uchi ndo nitrend imposble
Wanasema pesa sabuni ya roho
Cha ajabu ukisafishia hata giki haitakati
Hakuna yes bila No
Mtu unaempigia hesabu shule alikimbia hisabati
Impossible impossible mzee kurudi utotoni (impossible)
impossible impossible Kuishi maisha ya ndotoni (impossible)
Written by: NORASCO NOVATH
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...