Vídeo de música

Vídeo de música

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
Prince brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Prince brayban
Songwriter

Letra

Penzi halimei kwenye matope, linamea palipo moyo mzuri
Kwenye shida mahi tuwe wote, tupendane kama Fahi na chui
Aku! Sikatai we niroge, ila kwako niwe peke yangu,
Tupatane kijani tuhomoke, nivumilie madhaifu yangu
Haki ya Mungu walahi,baby buuh, Penzi halitaota mkia
Wanaonataka kupima tunapendana, watajua wenyewe
Natoka daresalama kwa miguu, kuja tu kukusalimia
Huko ndani ndani Ushagoo, mpaka unielewe
Chorus
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee,what shall we do
Verse 2
Hauvai mawigi, haunywagi mipombe
Haupaki make up, wala maskala
Shape kienyeji, wewe ni promax
Hauvuti mashisha, wala sigara
Wewe sio Zuwena wa Diamond, wala Salima wa Linex
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndani ndani ooh
Niko radhi kashamba niweke bond, ili tu nisikukose
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndani ndani ooh
Chorus
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee,what shall we do
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...