Vídeo de música
Vídeo de música
Créditos
PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Performer
JayMelody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Letra
Oh, my
Wananiita Jay, Jay once again
Sema wansekeji wantaramela
Wansekeji wantaramela
Wansekeji wantaramela
Wansekeji
(S2kizzy baby)
Yeah
Stress zitakutia kichomi alafu damu itakukauka (kauka)
Na wala hatujaanza kuchukiwa leo toka enzi ngozi imepauka (pauka)
Afu kuhusu mipango inajipangilia yenyewe tu
Ndo maana unaona kama tunakausha (kausha)
Tuna jimix sana na watu wasio tupenda
Na ndo mana uwezi kuona tunatoka bila baunsa
Kilichobaki ni ku-maintain (maintain)
Hatutakiwi kushuka tunatakiwa kupanda
Hatuachi kupambana mpaka tuwe kama wao
Tunatakiwa kushinda hatutakiwi kusanda
Mwingine mwanadamu kama mimi
Na anakesha kupambana kupangua mpango wa Mungu alioupanga
Na hatuwezi tukarudi tulipotoka
Japo bado hatujafika tunapotaka ila Alhamdulillah
Sina mawazo, sina mawazo
Sikuwazi usiniletee hizo
Muda wangu kutafuta mshiko
Siwezi kurudi nilipotoka mwanzo
Sisi kama sisi kujituma
Kila kona shangwe itakuuma
We kaulize utaambiwa
Kucheka cheka kununa nuna
Hizo habari hatuna
Hatuna
Hatuna
Hatu-
Hizo habari hatuna
Hatuna (wewe)
Hatuna
Hatu-
Hizo habari hatuna
Wansekeji wantaramela
Wansekeji wantaramela (yeah)
Wansekeji wantaramela (uh-huh)
Wansekeji
Siku hizi mboga zinapikwa kwenye kitchen (kwenye kitchen)
Sasa hivi namba wanazisoma kama tuition (kama tuition)
Since tushasota sana
Sa'hivi huwezi kutukosa na watoto wawili watatu kwenye session (kwenye session)
Na hauwezi pata tunatoswa na hizi pisi kali (pisi kali)
Ukitaka kutuonesha ukali sisi wenyewe wakali (si wenyewe wakali)
Tushasota kwenye jua kali, mvua kali, dua kali
Mpaka mambo yamekuwa shwari
Si' unaona nyama zinachomwa kila siku (kila siku)
Afu bata tunakula kila week (kila week)
Tafuta pesa baba pesa kila kitu
Huoni kesi kesi ndogo ndogo zinasafishwa bila gik
Na hii maana ake sio shida zetu tushavuka (tushavuka huko)
Na hii maana ake brands zishakua ni super (okay)
Na hii maana ake hakuna tatizo wala hakuna mawazo
Kila kitu kinaenda sawa na mzuka, wu
Sina mawazo, sina mawazo
Sikuwazi usiniletee hizo
Muda wangu kutafuta mshiko
Siwezi kurudi nilipotoka mwanzo
Sisi kama sisi kujituma
Kila kona shangwe itakuuma
We kaulize utaambiwa
Kucheka cheka kununa nuna
Hizo habari hatuna
Hatuna
Hatuna
Hatu-
Hizo habari hatuna
Hatuna
Hatuna
Hatu-
Hizo habari hatuna
Wansekeji wantaramela
Wansekeji wantaramela
Wansekeji wantaramela
Wansekeji
Written by: Salmin Kasimu Maengo