Créditos
PERFORMING ARTISTS
Sifaeli Mwabuka
Kalimba
COMPOSITION & LYRICS
Sifaeli Mwabuka
Songwriter
Letra
Lyrics:2025
Truck: MSHUKURU MUNGU TU-
Artist: SIFAELI MWABUKA
Verse one:
Nyoosha mikono mshukuru Mungu ×2 mwambie asante
Ni wengi ulisoma nao lakini Leo hawapo wewe uko hai mshukuru Mungu ×2
Ni wengi ulilazwa nao wakapoteza Maisha yako wewe Mungu akakuponya mshukuru Mungu ×2
Kwenye Ile ajari wale wengine hawakupona wewe ukatoka Salama mshukuru Mungu ×2
Kwenye usingizi Wa Jana wenzako bado wamelala wewe umeamshwa Salama mshukuru Mungu ×2
Ooh wewe ninani unyamaze kimya nyoosha mikono mshukuru Mungu
Ooh wewe ninani usipase Sauti yako nyoosha mikono mshukuru Mungu ×2
Chorus:
ASANTE ASANTE ASANTEE MUNGU WANGU×8
asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu
Verse2:
Mahali nimefika acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba
Kwa umbali Huu nilionao acha Mimi nimshukuru Mungu nasema asante asante baba
Kule baba alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba
Vile Vita alivyonishindia mwadamu asingeweza nasema asante asante baba ×2
Mavumbini alikonitoa mwanadamu asingeweza nasema asante asante baba
Hata uzima Huu nilionao mwenzenu kwangu Ni muujiza nasema asante asante baba ×2
Chorus
ASANTE ASANTE ASANTEE MUNGU WANGU×8
asante baba
Asante Mungu Wangu
hivi nilivyo
Mahali nimefika
Asante baba
Ni huruma yako baba
Mimi ninani
Asante baba
Vile baba umeniumba
Mwanadamu asingeweza
Asante baba
Najivunia ulivyoniumba
Kazi ya mikono yako
Asante baba
Hivi nilivyoooo
Hivi nilivyo
Hivi nilivyoooo yesu
Written by: Sifaeli Mwabuka

