album cover
Bedui
album cover
00:00
00:15
00:30
00:45
00:50
00:55
01:00
01:30
01:35
01:40
01:45
02:10
02:50
00:00
03:00
Últimos 7 dias
Bedui foi descoberto com mais frequência por volta de 30 segundos após a Canção durante a semana passada

Vídeo de música

Vídeo de música

Letra

[Intro]
Nipe tena
Jay once again
[Chorus]
Kama maziwa kumbe ni tui (Tui)
Nje kondoo ila ndani chui (Chui)
Na siku hizi nakwenda kama bedui (Bedui)
Hata tukikutana viwanja jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
[Verse 1]
Utashangaa, utashangaa
Mwenzako sina mabawa ila napaa
Mwendo wa pa pa pakitakita
Kovu kidogo ushajiona shujaa
[PreChorus]
Nasema go go go, ale ale ale
Pata burudani za Jay mtoto wa Tandale
Nasema go go go, ale ale ale
Pata burudani za Jay mtoto wa Tandale
[Chorus]
Kama maziwa kumbe ni tui (Tui)
Nje kondoo ila ndani chui (Chui)
Na siku hizi nakwenda kama bedui (Bedui)
Hata tukikutana viwanja jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
[Bridge]
Nipe tena
Jay once again
Nipe tena
[Verse 2]
Si alileta michezo kunifuatilia
Kakanyaga mdudu kakosea njia
Misumari, vidonda ameumia
Kakanyaga mdudu kakosea njia
Sa sikia kinachofuatia
Maumivu ya kichwa mgongo hakuna kukusaidia
Angalia kwenye hii dunia hata ukikunja Mungu ndio engineer
[PreChorus]
Nasema go go go ale ale ale
Pata burudani za Jay mtoto wa Tandale
Nasema go go go ale ale ale
Pata burudani za Jay mtoto wa Tandale
[Chorus]
Kama maziwa kumbe ni tui (Tui)
Nje kondoo ila ndani chui (Chui)
Na siku hizi nakwenda kama bedui (Bedui)
Hata tukikutana viwanja jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
Kama hunijui
Jifanye kama hunijui
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...