Letra

... Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale Majaribu na shida zimetusonga Shetani ajaribu kutuandama kila wakati Wenzangu tusimame imara kwa wokovu Tukeshe tukiomba na yote tutashinda Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale Wakrito tu wanyonge wa mwili na wa roho Twamwomba MUNGU wetu usiku na mchana Atupe nguvu zake tushinde yule mwovu Maana bila yeye sisi hatutaweza Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale ... Shambami Gethsemane Yesu aliomba Baba kiondoe kikombe cha machozi Maana sio mapenzi yangu yatimizwe Bali mapenzi yako Baba yatimizwe Mungu kampa nguvu kashinda majaribu Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale Kilio ninacho mimi ni kwa wale wameokoka Adui ameamua kamwe hatatuacha Aleta majaribu usiku na mchana Vijana nawaomba wazee na watoto Tusimame imara na yote tutashinda Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale Kesha ukiomba aaaah Kesha ukiomba aaaah Maana adui naye atafuta waliolala Ili awangamize roho yangu usilale
Writer(s): Paul Mwai Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out