Похожие песни
Создатели
ИСПОЛНИТЕЛИ
Evelyn Wanjiru
Исполнитель
МУЗЫКА И СЛОВА
Evelyn Wanjiru
Автор песен
Слова
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Bwana Mungu wangu weee umenikomboa eee
Umeniwezesha mimi
Wewe ni mkuu
Ukaniita Kwa jina langu eeeee ukaniwezesha bwana eee
Nikuabudu bwana nikuimbie
Nilipokuwa kwenye dhambi
Ukanionyesha mwanga Mwanga
Wewe ni mwanga wangu bwana
Wewe ni mkuu.
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Bwana mungu wangu eee
Wewe ulimsaidia ayubu
Alipokuwa na shida nyingi
Bwana ulikuwa naye
Neno lako linasema
Unazo Fedha eeeeee
Zote ni zako bwana
Wewe ni muweza
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Wakati ninazo shida
Na magonjwa
Bwana unasema
Tuliite jina lako
Wewe ndiye muweza
Wewe ndiye mwenye nguvu
Wewe ni kimbiliyo baba
Waweza mambo yote.
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Writer(s): Evelyn Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com