Слова

Eeeh baba ni wewe uliyenitoa mbali Niko hapa baba nifanye upendavyo Umenifanya wa kipekee kwenye hali Ya moyo wangu umeniumbia moyo Mwema nijue kulikataa baya na kulipenda Jema eeh baba nifanye nizidi kykupenda
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out