Слова

Sema ndo vile tu Sina pesa ya kutosha Ila bata letu Tungekuwaga twalila bila pressure Raha ni raha tu Jama ugomvi unachosha Na ukijua sina Napenda si wakununa Hata fuko ikituna Si mtu mwenye tamaa Si unakumbuka vizuri Jinsi ulivyonikondeshaga Tukaanza tena sifuri Kisa maneno neno ya danganya Totoo Likizama Likiwaka Likipoa Ntakuwa na wewe Ikinyesha Ikiacha ohh baby Ntakuwa na wewe tu Nakuotaga njozi baby Na niko macho Mchana kweupe Ndo mana utakacho Nitasaka nikupe Aina ya upendo Nikupendao mimi sidhani Kama yupo akupende Nikupendavyo mimi Mana ninavyokupenda wewe Ohh baby ohhh Acha nikung'ang'anie Ninavyopendana nawe Ohh baby ohh Acha tu watununie Si unakumbuka vizuri Jinsi ulivyonikondeshaga Tukaanza tena sifuri Kisa maneno neno ya danganya Totoo Likizama Likiwaka Likipoa Ntakuwa na wewe Ikinyesha Ikiacha ohh baby Ntakuwa na wewe tu Mama tucheze likachunje Waumie mama Mama tucheze na lizombe Waumie sana Baby tucheze likachunje Waumie vibaya Mama tucheze na lizombe Ohh ohh
Writer(s): Frank Felix Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out