Слова

Mapenzi hisia usidanganyiwe na picha We ingia ndanii ujionee We umechoka mwenzako ndo anafika basi kaa mbalii ujionee Labda ulipotamani vizurii ulipokosa na we ndo ukanunaa Unanikosesha raha kiburi nkiongea mwenzangu unauchuna beby Na safarii yangu inaishia njiani kabisa roh yangu inaumaa aaah Nimechoka siwezi naogopa mana hauna huruma beby Aaaaaah aaah a a a Aa aa aaa aaaaaah aaah Aaa a a (AYAA) Aaaaaah aaah a a a Aa aa aaa aaaaaah aaah Aaa a a (SAWA)
Writer(s): Jimmy Myovela Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out