Слова

Kando ya bahari Kwenye bustani Pali patulivu Waniongoza Mawimbi majeruhi Silaha ya adui Siogopi Ninaye Mungu Upendo wanizingira Uwepo umenivisha Wako eeh Yesu Macho yangu yakutazama Ninakusifu milele Nasfi yangu yakulilia Ninakusifu milele Ooh ooh Ooh ooh Kama mvua kwenye nchi kavu We wahuisha, moyo wangu Kwa utulivu wako Kama mvua kwenye nchi kavu We wahuisha, nafsi wangu Kwa utulivu wako
Writer(s): Bethuel Lasoi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out