Слова

Mi amor, te amo Oh, baby, mon amor Hakuna mwingine wakumsikia, kwenye masikio yangu Hakuna mwingine wakumuona, kwenye macho yangu Nibebe nibebe, honey, nishushe mahabani Nigege nigege (eh), mi kwako taabani Eeh, aah, mi amor Nikuite jina gani, baby, honey, ama boo? Mon amor Eeh, aah, mi amor Nikuite jina gani, mahabuba au lazizi? Mon amor? Au mon amor Kimamba on the beats Moyoni ulivyo ni kaa never seen before Unavyo nipa never seen before Wengine wa nini? Oh, la-la-la, la-la-la Never seen before, tuwe wote mpaka kifo Madunga embe wa nini? Oh, la-la-la, la-la-la Kwenye joto nipepee kwa baridi nikumbate Kwenye mvua nikinge, uwe mwamvuli Nibebe nibebe, honey, nishushe mahabani Nigege nigege (eh), mi kwako taabani Eeh, aah, mi amor Nikuite jina gani, baby, honey, ama boo? Mon amour Eeh, aah, mi amour Nikuite jina gani, mahabuba au lazizi? Mon amour? Au mon amour
Writer(s): Mariano Javier Castro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out