Слова

Yap Uh, Naitwa mangi Yaani chagga tena nah Oh yeh Ooh Mmh yeh (O.Righty) Ah Kiukweli mi sina kitu Hali yangu kama unavyoona Tu mishe za kule na huku Viwalo vyangu vya ilala boma Je kweli umeridhiana na mi Vijora vya buku sita utavaa baby Kuna maneno mengi mtaani Mara nakuzeesha utaimili kweli Usiropoke ukinuna ukiwa na hila We niseme ata nikiwa na hasira Usijifunze kukaa na jambo moyoni Litakuja lisumbue baadae Utakutana na nguna Je we utakula Vya kulumangia Ndo nazingatia Msaada wa ndugu sina Je utavumilia Umekuja mazima We uje mazima Na je baby? Utalala lala? Usingizi mororo Utalala lala? (ah yeh mm ah) Kwenye bungalow giza totoro Utalala lala? (weh eh nah) Gheto nna ndoo tu na godoro Utalala lala? (weh eh mh) Kesho tuamkie kiporo Ah Nashukuru umeona unifae (yeh) Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah) Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah) Sa baadae usije unikatae Kiganjani mwangu usiniponyoke Tupendane wambea tuwadondoshe Yani baby nishike twende wote Wakikutisha nipo hivyo usiogope We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby Kukupenda mbona sana tu sana baby (Na je wewe?) Utakutana na nguna Je we utakula Vya kulumangia ndo nazingatia Msaada wa ndugu sina Je utavumilia? Umekuja mazima we uje mazima Na jee baby Utalala (nami) lala (yeh) Usingizi mororo Utalala (ah yeh) lala Kwenye bungalow giza totoro Utalala (we eh ah) lala Gheto nna ndoo tu na godoro Utalala lala? (weh eh mh) Kesho tuamkie Kiporo (Instrumental) (Utakutana na nguna je we utakula?) (Vya kulumangia ndo nazingatia) (Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?) (Umekuja mazima we uje mazima)
Writer(s): Hizam Hashim Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out