Слова

Harmonize na Willy paul Pesa sio kla kitu alinifunza mama Eeeh Heshima ndo kila kitu walisemaga wahenga eeeeh Ukifata magar uta potea baby wee Ukifata mapene utapotea Mbona nikuite malaika Na tabia zako hazi ambatani Mbona aah nikuite mama yao Na watoto wako umewatupa Mbonaa chocolate na divai flavor Kumbe wee shubirii aaaah We pili pili we una niumiza moyo We pili pili we una niumiza moyo We pili pili pili pili wewe We pili pili pili pili wewe (Harmonize) Tupige goti tusali tufanye dua eeh Kwetu afadhari wenzetu wana ugua eehh
Writer(s): Wilson Paul Opondo, Harmonize Harmonize Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out