Слова

Komesha uwoga, uwoga wa maisha Na utukumbushe, kuwa wewe ni baba yetu, Fedha na dhahabu yote ni mali yako, Uwoga ni wa nini, tena wewe ni baba yetu Komesha uwoga, uwoga wa maisha Na utukumbushe kuwa wewe ni Baba yetu, Fedha na dhahabu yote ni mali yako, Uwoga ni wa nini, tena wewe ni Baba yetu, Wakuu wa giza wametawala dunia hii, (wakifundisha kutoamini neno) (Kuwa sisi tu waridhi, wa mali ya Baba yetu) Wakuu wa giza wametawala dunia hii, (wakifundisha kutoamini neno) (Kuwa sisi tu waridhi, wa mali ya Baba yetu) Mungu ni Baba yetu, nasi tu watoto wake Kwa hiyo sasa sitaogopa jaribu lolote, Ninaye Mungu muweza yote anayenipenda Mungu ni Baba yetu, nasi tu watoto wake
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out