Видео

Barnaba Feat Nandy - Tamu (Cover By IbraaT) Video
Смотреть видео на песню «{artistName} — {trackName}»

В составе

Создатели

ИСПОЛНИТЕЛИ
Nandy
Nandy
Вокал
Barnaba
Barnaba
Исполнитель

Слова

This is Barnaba Boy Classic Africa princess (aaaanhh) Mopao You and me for real (eeehhh) Samuel Mou Eeeeeh Woo nah nah nah (oh na na na na) London Penzi langu alirudi, alirudi lanukia kumpenda sina budi Nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi Hatuongopi tantarira zao Maneno mchajao, wanafanya maneno baby sie tufanye matendo Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka! Penzi tamu Neno penzi kwangu tamu Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu Penzi tamu Neno penzi kwangu tamu Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu Naaah!! Aiyaaah hhaaa aah! Uuoooh Uuuoh Uuooh (princess malkia wangu ebu nisamee) Hoo papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata Kukupenda wewe sina shaka mhh Kwenye akili yangu ni wewe pekeako umenikaa Kwengine roho inakataa Oh! Moyo umekuami mana huniishi akilini Sijui umenipa nini mmhh Au umentupia kajini ndo mana umeni-win! Mana hunishi akiliniii (Aah tell them my love) Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka! Penzi tamu (Aaaahh) Neno penzi kwangu tamu (babe) Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!) Penzi tamu Neno penzi kwangu tamu Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!) Penzi tamu Neno penzi kwangu tamu (neno penzi kwangu tamu) Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu (babe) Penzi tamu Neno penzi kwangu tamu Neno penzi kwangu tamu Jama, mapenzi matamu This is Barnaba Boy Classic Kamix Lizer You and Me for real
Writer(s): Barnaba Classic, Nandy African Princess Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out