Слова

Christina Iyeeh×2 Alikuwa mzee mwenye miaka mingi Mungu naye amembariki Na vitu vyote (yeiih) Ewe mtumishi wangu Nenda Kwa nchi yangu Ukamtwalie mwanagu Isaka mke Yule mwanamke atakubali kufuatana Naam Yehehee Katika nchi Eee Mungu Mfadhili mwanagu Ibrahimu Ee Mungu eh(eh Mungu eh) Na binti Nitakaye mwambia uninyweshe Naye atasema ndio Nitanywesha Na ngamia zako Huyu ndiye Yahweh Christina Sisi Ni wale Majibu ya Rehema Sisi Ni wale Matokeo ya Rehema Sisi Ni wale Majibu ya Rehema Sisi Ni wale Matokeo ya Rehema Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh eh eh Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh eh eh (Oh uwoh uwoh) (Catchy interlude) (Oh uwoh uwoh) Rebecca Mschana mrembo Msichana mrembo fanya kazi Kwa bidii Asiwe mvivu Asiwe mchoyo Saidia Na wengine Mschana mrembo Mwenye maono Na mwenye maombi Asiwe mvivu Na uende Na wakati Uende Na wakati Rebecca alidhani anasaidia mgeni Na kumbe ugeni ulikuwa Ni wake Rebecca alidhani ananywesha ngamia tu Nakumbe ngamia zilikuwa Ni zake Sisi Ni wale Majibu ya Rehema Sisi Ni wale Matokeo ya Rehema(Rebecca) Sisi Ni wale Majibu ya Rehema Sisi Ni wale Matokeo ya Rehema(uuh ooh uoooh) Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh eh eh(iyeh) Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh Nanywesha ngamia zangu eh eh eh (Catchy music interlude) Rebecca
Writer(s): Mercy Masika Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out