Слова

Yoo yooo yooo You knew me from the start Unanijua toka mwanzo Tena unajuaa Kwako bwege hamnazo Tena namtambua Huyo mwehu aliyeuteka moyo wako. Na ataniua Astaghfirullah Mahaba yenu pambe moto Baby lonely Mwenzako niko lonely Mama mwenzako Lonely Mwenzako lonely Baby Lonely Mwenzako nakufa Lonley Mwenzako niko Lonely Baby Lonely Tena Inshallah Panapo majaliwa Na harusini nitakuja Kuja kuja kuja Na ntaleta zawadi Mimi mwenzako moyo safi Kuachana si uadui Japo inaniuma sitambui Tena namtambua Huyo mwehu Aliyeuteka moyo wako. Na ataniua Astaghfirullah Mahaba yenu pambe moto Baby lonely Mwenzako niko lonely Mama mwenzako Lonely Mwenzako lonely Baby Lonely Mwenzako nakufa Lonely Mwenzako niko Lonely Baby Lonely Tena Inshallah Panapo majaliwa Na harusini nitakuja Kuja kuja kuja Na ntaleta zawadi Mimi mwenzako moyo safi Kuachana si uadui Japo inaniuma sitambui Japo Penzii Penzi la makolo kolo Nimekuwa ka kolo kolo Umeniacha mimi Solo solo Nimechacha Kiporo poro Penzi la makolo kolo Nimekuwa ka kolo kolo Umeniacha mimi solo solo Nimechacha kiporo poro Kolo kolo kolo kolo kolo Solo solo solo solo solo Kolo kolo kolo kolo kolo Solo solo solo solo
Writer(s): Salum Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out