Слова
Aah Uyasbona Siyenzani
Awee, Aweee
Awee, Aweee
Awee, Aweee
Awee, Aweee
Na kila siku mnaniona natafuta
Na mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa
Usiku kucha,nasebenza
Sebenza, Sebenza
Na kila siku mnaniona natafuta
Nyie mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa
Usiku kucha,nasebenza
Sebenza, Sebenza
Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali
Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali
Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eeh
Nasema pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Wonke umuntu ithi Jaivah.,Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Everybody say Jaivah, Jaivah
Say Jaivah, Jaivah
Watu wote sema Jaivah, Jaivah
Jaivah, Jaivah
Mmmmmmh aaaah Ayayaya aaah
Mmmmh aaah Ayayaya aaah
Mmh Aah Ayayaya aaah
Mmmmh aaah Ayayaya aaaah
Alooooooh!!
Mmmh, Shiiih
Awee kulanina
We si unanisema vibaya kulanina
Aah si unasemaga hunipendi kulanina
Sa mbona ukiniona unagwaya kulanina
Unang'ata unapuliza ndio kumaanisha nini
Ama unataka chapati (ama unataka chapati)
Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)
Ama unataka kutrend (ama unataka kutrend)
Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Ithi Jaivah, Jaivah
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Everybody say Jaivah, Jaivah
Say Jaivah, Jaivah
Watu wote sema Jaivah, Jaivah
Jaivah, Jaivah
Shiiih
Yani kama utani Tena nje ndani
Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Yani kama utani Tena nje ndani
Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Writer(s): Jaivah, Omary Ally Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com