Слова

Mie salama na mzima, sina hata useme adaah Umenishika kwa mtima, pumzi sihemi adaaah Penzi si made in China, halinaga utemi adaaah Nyingi dua amina, ololufemi adaah Tumeipamba nyumba kwa tabasamu Macho fumbua fumba, hunihishi hamu Wanaongea pumba, tuwafunze nidhamu Kwa moyo upo mchumba, hadi kwenye damu Nguvu sina (daah, da-da-da-da, daah) Umenimaliza (daah, da-da-da-da, daah) Akili kabisa inadata (daah, da-da-da-da, daah) Umeniweza mpenzi (daah, da-da-da-da, daah) Nibebeshe mazito mepesi unipokee Tufate mtiririko, mbali tutokomee Wapate makasiriko, zodo tuwazomee Penzi funika funiko, geti uchomelee Penzi limestawi bila kumwagiliwa Penzi sio uchawi eti atumwe njiwa Tumeipamba nyumba kwa tabasamu Macho fumbua fumba, hunihishi hamu Wanaongea pumba, tuwafunze nidhamu Kwa moyo upo mchumba, hadi kwenye damu Nguvu sina (daah, da-da-da-da, daah) Umenimaliza (daah, da-da-da-da, daah) Akili kabisa inadata (daah, da-da-da-da, daah) Umeniweza mpenzi (daah, da-da-da-da, daah)
Writer(s): Alvin Handro, Ali Kiba, Nandy Princess Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out