Слова

Msichana wa sura nzuri Kitu gani kinakufanya usiolewe Elimu unayo ya kutosha Hata ng'ambo ukaenda ukarudi ... Msichana wa urembo kama wewe Uonyeshe mapenzi kwa vijana Ukionesha majivuno kwa vijana Utazeeka ukiwa nyumbani kwenu Ooh baby Miaka yaenda mbio sana Na sura yako ikichuchuka Ooh baby Miaka yaenda mbio sana Na sura yako ikichuchuka Pengine tabia zako ndizo mbaya Awali kweli dada ulijivuna Kwanza mimi nilitaka nikuoe Ukaringa ati sina masomo Ooh baby Ona watoto wa nyumba yako Wameolewa wamekuacha ukihangaika Ooh baby Ona watoto wa nyumba yako wameolewa wamekuacha ukihangaika Msichana wa sura nzuri Kitu gani kinakufanya usiolewe Elimu unayo ya kutosha Hata ng'ambo ukaenda ukarudi
Writer(s): Daudi Kabaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out