Слова

Merimela kipenzi rafiki wa karibu tangu hapo zamani, Tulipoanza shule na tukiwa watoto ulikuwa mpole, Tena mwenye adabu msichana mwerevu kila mara mshindi, Sifa za urembozilienea kote ukipita ni whispers, Merimela kipenzi rafiki wa karibu tangu hapi zamani, Tulipoanza shule na tukiwa watoto ulikuwa mpole, Tena mwenye adabu msichana mwerevu kila mara mshindi, Sifa za urembozilienea kote ukipita ni whispers, Kwa darasa la saba kipenzi Merimela ukaanza geuka, Machali mbali mbali hata nao walimu wakakufanya
Writer(s): Timothy Boikwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out