Слова

Mwoyoni mwangu Yahweh nashukuru sana, Kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele, Matendo yako maishani mwangu ya tisha Jehovah Natamani nifananenawe masiah Siku zote usiye badilika na wakati Elohim umwema Ebeneezer nani kama wewe nainama mbele zako ewe ni Mungu,×2 Natamani ni fanane nawe usiye badilika, uaminifu wako Adonai wa milele na milele, toka utotoni mwangu umekuwa mwema sana, umbali umenileta Yahweh hakuna mwingine kama wewe, Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2 Kwa nehema yako Adonai umeihifadhi roho yangu, wengi tulizaliwa nao na wengi sasa wamefariki, wengine hawakujui Yahweh, Mungu mwenye enzi na uzima, lakini kwa nehema yako Shamaah umenipa uhai ni ishi. Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2 Wewe uliye nena na Samueli, hutamdharau mwanadamu, usiye tazama maumbile, yake wewe Mungu wa haki, umbali umenileta Yahweh, Ebeneezer wewe ndiye Mungu, Mungu mwenye enzi na uzima, uinuliwe milele yote. Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2
Writer(s): Paul Mwai Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out