Создатели
ИСПОЛНИТЕЛИ
Makena
Исполнитель
МУЗЫКА И СЛОВА
Makena
Автор песен
Слова
Nilikuwa natafuta rafiki
Atakaye kuwa wa kudumu
Nilikuwa nimekosa tumaini
Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
Upendo Wako unanipa nguvu
Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
Nitaogopa nini heey
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele, milele, milele milele...
Taratatatata
Tena nikapata, marafiki kadhaa
Punde shida ilipoingia nao waliondoka
Nikalia mpaka nilipokumbuka
Kuwa kuna rafiki asiye badilika
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena
Upendo Wako unanipa nguvu Baba
Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani
Nitaogopa nini heey
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele, milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni Mwaminifu milele...
Written by: Makena

