Слова

Je-je-jey, ah-ah The V.O.A Tuddy Toma (Waasafi) eh Salima, Salima oh Najua maisha yako yaliyumba pale ulipo wapoteza wazazi wako Yule Salima wa jana, sio Salima wa leo Amekua wa kujinania na kujikata tamaa Iko wapi furaha yake Aliyo kuwa nayo mwanzo Iko wapi furaha yake Aliyo kuwa nayo mwanzo Salima nakusanze kasuru kagonga wekuye tenga tinyanya Salima chenisange nguya yene nasoma nawe mwengee Salima mi ni sange yule yule Nilie soma nawe Mwenge Zimeyayuka ndoto zako Ulizo kuwa nazo, Salima (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako Naomba hiyo bahati ya kuishi nawe Idondokee kwangu, isiende kwa mwengine Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe Usijikatie tamaa Kuna wengi wana shida kuliko zako, Salima Wanaamini kupitia yule msemo wa ridhiki hapo mbinguni kwake Wanaamini kupitia ule msemo wa ridhiki mafungu saba, Salima ooh (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako Moyo unatamani yani kuwa kitambo ufungue (ufungue) Usome jinsi gani unavyonifanya niugue, eh Zenda huri nana uwawish uwawi nashisee Pamoja kuherera baba utungamizi japo niulimishe Utamu, utamu wa moyo wangu mi kupendwa nawe Utamu, Salima tatizo mami, basi sema nielewe Ah, Salima ooh (oh ayee) Salima eeh (oh ayee) Salima ooh (oh ayee) Salima eh, eh (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako I feel that I'm in love with you (Salima) I feel that my life is you (Salima) I feel that you're the only one I need (Salima) I'm gonna trust (Salima) Baby I'm not perfect, but I am going my all way And I just want to be with you Me and you forever and ever (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima) niwe baba wa watoto wako (Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (Ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (Ooh Salima, Salima) niwe baba wa watoto wako Watoto kedekede (Salima) Na watoto kedekede (Salima) Shemeji mchange wandese tanisaidia (Salima) Salima, Salima, Salima
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Linex Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out