Lyrics

umbali tumetoka na mahali tumefika ndio maana ninatambua kwamba wewe ni Ebenezer sio kwa uwezo wangu ila ni kwa uwezo wako mahali nimefika baba acha nikushukuru eh bwana umenisaidia nifike mahali nimefika bwana wewe ni ebenezer maishani mwangu ooh mi nataka ebenezer nijengwe juu yako mi nataka ebenezer uwe msingi wangu jiwe langu la pemebeni nakutamani sana jiwe langu la thamani nakuhitaji sana ooh ebenezer jiwe langu mi nataka maisha yangu yajengwe juu yako mi nataka ndoa yangu ijengwe juu yako baba ndoa zilizojengwa juu yako yahwe hazivunjiki kamwe nyumba zilizojengwa juu yako yahwe mi nataka uimbaji yangu baba ujengwe juu yako maana wewe ni sauti yangu wewe ni uzima wangu mi nataka ebenezer nijenge juu yako mi nataka ebenezer uwe msingi wangu jiwe langu la pembeni nakutamani sana jiwe langu la thamani nakuhitaji sana ooh ebenezer jiwe langu ebenezer nang'aa libanga nangai ya telo olekitya mapewolo papaa eeh kati na bomo inang'a zambe, nakumisi oh mukote akokani na yooh bisika na komilelo yahwe ezali sena makasi na yooh mi nataka ebenezer nijenege juu yako mi nataka ebenezer uwe msingi wangu jiwe langu la pembeni nakutamani sana jiwe langu la thamani nakuhitaji sana mi nataka ebenezer nijenge juu yako mi nataka ebenezer uwe msingi wangu jiwe langu la pembeni nakutamani sana jiwe langu la thamani nakuhitaji sana Ebenezer ni jiwe langu jiwe langu la msingi mahali nimefika leo, ni kwa ajili yako ebenezer mawe mengi yako hapa chini ya jua kuna dhahabu, kuna almasi kuna mawe hata sijui majina yake lakini hakutawahi kuwa jiwe kama Ebenezer End
Writer(s): Angela Chibalonza Muliri Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out