Music Video

Featured In

Listen to Wakati Wa Mungu - Single by Guardian Angel
ALBUMWakati Wa Mungu - SingleGuardian Angel

Credits

PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Guardian Angel
Performer
Paul Clement
Paul Clement
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Guardian Angel
Guardian Angel
Songwriter
Peter Audiphaxad Omwaka
Peter Audiphaxad Omwaka
Songwriter

Lyrics

Kwani we Brother unaombaga vipi? Mbona yakwangu hayasikiki? Nafunga daily Na bado nashindwa vipi? Wakati wa Mungu ni kama Tsunami ya maji Ukuta hauwezi kuzuia lazima utabomoka Wakati wa Mungu ni kama upepo mkali Mlango hauwezi kuzuia lazima utafunguka Wakati wa Mungu humpata kila mtu We kuwa na subira andika haya kwenye shajara Wakati wa Mungu ukikujiria Mazingira si kitu yapinge Wakati wa Mungu ukikujiria Mwanadamu ni nani apingee Usichoke ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujiriee Wewe subiri tu Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujirie Uuuuuh Yooooh Nilisoma na ma_guys Wameweza pata makazi Wanafuu Wanapata fursa ya kula cha mkufuu Mimi bado naulizaga Kaa nitawaipata nafuu Ama kweli talanta itaweza nifanya nile na wakuu Wakati wa Mungu Je utawai nifikia Baraka zangu niweze kuzipokea Wakati wa Mungu kweli utakufikia Baraka zako uweze kuzipokea Nimechoka kungoja Usichoke ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujiriee Wewe subiri tu Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujirie Shida tu yaaani Usiliee Natamani kivulini Usiogopee Nipate amani Ooooooooh Oooooooooh Jua Mungu ni mti wenye kivuli kizuri Ni mti wenye uzima na kweliiii Eeeeeeeheeeeh Wakati wa Mungu hufanya njia jangwani Mito ya maji nyikani Wakati wake hauna upinzani Eeheeeeaiiii Kumbe wakati wa Mungu huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu Kila kitu huwa rahisi hata vilivyo shindikanaaaaah Usichoke ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujiriee Wewe subiri tu Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Ngoja Usichoke Ngoja Ngoja Ukujirie
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out