Lyrics

Unastahili Kuabudiwa (Solo) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba (All) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba (Solo) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba (All) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba Unastahili Kuinuliwa wewe ni Mungu Baba (All) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba Unastahili kupewe sifa wewe ni Mungu Baba (All) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba Unastahili Kutawala Baba wewe ni Mungu Yahweh Sema wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba) Sema wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba) (Halleluujah) Milele wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba) Woo, Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba (All) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba Ni Wewe (Solo) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Ni Wewe tunayekupenda, ni Wewe tunakuabudu (All) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Ni wewe tegemeo, Ni wewe tunakuabudu (All) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Kimbilio letu, Jehovah Shammah, Ni wewe tunakwabaria (All) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Maishani mwangu sitakuacha, ni wewe tunakupenda (All) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana (All) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana Instrumental
Writer(s): Anthony Musembi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out