Lyrics

Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Nina wimbo mpya moyoni, wa kukusifu ooh ooh na kukuabudu Mimi nimewekwa huru kwa damu yake eeh, sasa nimeamua kumuimbia Nina wimbo mpya moyoni, wa kukusifu ooh ooh ooh ooh na kukuabudu Mimi nimewekwa huru Eeh, kwa damu yake eeh eeh, sasa nimeamua kumuimbia Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa Alishika pindo la Yesu, akapata kupona Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa Yesu ananipenda, tena ananijali Upendo wake wote wanizunguka Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out