Lyrics

Hakika wewe ni Mungu (Ni wewe) Utendaye maajabu (Ni wewe) Hakika wewe ni baba (Ni wewe) Umejawa na huruma (Ni wewe) Hakika wewe ni baba (Ni wewe) Umejawa na rehema (Ni wewe) Hakika wewe ni Mungu (Ni wewe) Utendaye maajabu (Ni wewe) Hakika wewe ni baba (Ni wewe) Umejawa na huruma (Ni wewe) Hakika wewe ni baba (Ni wewe) Umejawa na rehema (Ni wewe) Mimi nataka niende na wewe pamoja na wewe Ee Bwana wangu Maisha yangu yawe salama nifanikiwe maisha yangu Kama Musa uwepo wako uende nami pamoja nami Kama Enoko niende nawe peke yako Nikupendeze eh Jehova Jehovaaa aaahh Mhhhh haleluyah. Ndiwe uliyenitendea (Ni wewe) Mambo makubwa maishani (Ni wewe) Nikikutafakari wewe (Ni wewe) Kwa kweli mimi nashanga (Ni wewe) Nikijutafakari wewe (Ni wewe) Mimi ninaona raha (Ni wewe) Ndiwe uliyenitendea (Ni wewe) Mambo makubwa maishani (Ni wewe) Nikikutafakari wewe (Ni wewe) Kwa kweli mii nashanga (Ni wewe) Nikijutafakari wewe (Ni wewe) Mimi ninaona raha (Ni wewe) Asante Yesu kwa wema wako asante Baba we mkarimu sina tenaMungu mwingine Ila wewe Bwana wangu moyo wangu wakusifu wewe Roho yangu yakifurahia moyo wangu wakusifu wewe Roho yangu yakifurahia Haleluyah Usifiwe.
Writer(s): Joshua Mlelwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out