Lyrics

Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Saa tisa kamili ndio mi naamka eh! Naumwa na mifupa Nilicheki mlango yangu imefunguliwa Lakini kwa nyumba ndani hakuna kitu imeibiwa Kujichanganya Kujikanganya Kweli jana ni nini mi nilifanya Hizi ma-dent kweli nilipigwa nganya Sina memory Manze sina clue Nakuta nimesota kwa meza tu ni mablu Nakutana na jirani yangu huo mkamba Nikienda loo namsalimia habari mama Kwa hasira anajibu atahama Kuzimana na kuniletea majabu Ni nini nilinfanyia maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Naenda base waniambie nilifanyaje Kufika base wasee wanacheka sana Mazee jana Mejja ulikuwa umewezekana Mpaka kindukilu unavuta muhadhara Wacha Eeh! kwanza mbele ya wamatha Si unajua bartender, wa pale juu Eeh! Si ni ule matha mnono ana miguu Ata jana ni ye ulikuwa umekatia Umemshika waist mzee nakuambia No wonder nimejikuta nagonjwa Kijana nadhani ata phone amesanya Mejja nakuambia pombe zako mbaya Kama inawezekana usiguze bana Bana bana bana bana bana bana bana bana bana bana bana Usiguze bana Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nilikunywa (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Si unajua yule matha Kathanga Eeh, yule mana alikuwa na matanga Jana ulikuwa unamwambia ana mahaga Jo! Kweli pombe zangu mbaya Na gava kuchezea faya Ukiwaambia eti wewe ni Okwonkwo Huku mtaani eti wewe ndio sonko Kama si kama, ungeshikwa Ungejikuta kortini ukishtakiwa Hizi dent nilichapwa vibare Mazee ulichapwa ndio uende ulale Eeh! hii pomber nitasare Aah! Mejja! saa niaje mzee? Aah! Sema jo, kuna vile? Si u-come hivi basi nikuchukulie kamoja Lakini Mejja si emesema emeacha pomber Aah, wee wacha, pombe siachi leo, nitaacha Ke- ke- ke- ke- kesho! Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje Kweli jana kuliendaje (aje) Kweli jana nililewaje (aje) Kweli jana nilifanyaje (aje) Yo wasee niambie, kuliendaje
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out