album cover
Agnes
57
African
Agnes was released on March 24, 2018 by New Level Cooperation as a part of the album Shujaa Mamadou Ndala
album cover
Release DateMarch 24, 2018
LabelNew Level Cooperation
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Maestro Dekula
Maestro Dekula
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kahanga Dekula
Kahanga Dekula
Songwriter

Lyrics

[Chorus 1]:
Nasikia umekwama
Tatizo la usafiri
Tena uko kisiwani
Umezunguukwa na bahari
Nitakutumia ndege
Ije ikuokoe
Ndege hiyo Agnes
Ni Kenya airways
Ningeli kutumia meli lakini kama ujuavyo
Kuna dhoruba kubwa baharini (yo, yo, yo)
Chombo hicho kita chelewa kufika
Matatizo na mengineyo
Imenifanya niogope
Kwakuwa Agnes sitaki usafiri wamashaka (yoyoyo ah yoyoyo)
[Chorus 1]:
Nasikia umekwama
Tatizo la usafiri
Tena uko kisiwani
Umezunguukwa na bahari
Nitakutumia ndege
Ije ikuokoe
Ndege hiyo Agnes
Ni Kenya airways
[Chorus 2]:
Usikate tamaa tutaonana
Hapa nilipo ingawa ni mbali
Bado nakuwaza, bado nakuota
Panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
Oh mwana mama, kipenzi changu
Ulaya niliko ni Ulaya ya maneno
Baridi yanipiga bila huruma
Panda ndege uje, kipenzi changu
Ewe kipenzi changu njoo
[Chorus 2]:
Usikate tamaa tutaonana
Hapa nilipo ingawa ni mbali
Bado nakuwaza, bado nakuota
Panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
Mambo ya ulaya ,ni kyamukanda
Matope ni nyeupe, ukija utaona
Gari za moshi, chini ya udongo
Air Tanzania, flying my Baby
Ewe kipenzi changu njoo
[Chorus 2]:
Usikate tamaa tutaonana
Hapa nilipo ingawa ni mbali
Bado nakuwaza, bado nakuota
Panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
(Bobo) yo mwasi kitoko bonzenga
(Bobo) ozalaka lofundu mingi mama
(Bobo) I love you
(Bobo) moi je t'aime, moi je t'aime Bobo
(Bobo) nakupenda we nakupenda
(Bobo) jag älskar dig jag älskar dig
(Bobo) I love you
(Bobo) na tina nini na tina nini
Written by: Kahanga Dekula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...