Lyrics

Drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu Si ni furahi day na kuna keroro We kamu tu Si ni furahi day na tuko kwa keroro na We kamu Tuko na drinx na madame Ama tunaslide tu kwa ma-DM Tukitafuta maresh kwa magame Na-na-na-na wewe uko game-de Niko game inde Ninapiga posture inde Mi si kama Ethic sitachange position But bado nakubeng (Yeah) Niko na drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu Si ni furahi day na kunadai game Kasindano kamejam (Kamejam) Karoro kamepiga mukoro Mafisi wako chrome Mbogithi kebonyoski Ni ka-Juja ju vile kako thick, ah Piga deki na bado kanapick Sema teke na figure ni ya mita Vile kanabend boxer naharibika Akichuna mboga niko waist Makali akirombosa ninachase Alafu shoto ile design ya revenge, ithe ithe... Leo nina mbithe Drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu Si tupewe zile ndoro Zile zi hufanya mi ni go hadi moro Zile zi hufanya tunakosa ma-morals Nipe morale amsha usidoro baby Gurumisha isonge Nikuwekelee kama carbon paper Leta diambo, kipusa fanya mambo Hadi waya ishike mitambo Ju hii bunde imebeba mborogoto Rungu kienyeji hapana githungu Hii bastola imebeba mborogoto Rungu kienyeji hapana githungu Bana marinado Niko na drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu Niko na cum tu Na wengine wanadai kukamu tu Waiter, leta, zikikamu tu Marinate, marinate niwe gamu tu Wamlambez, wamnyonyez na malalez Niko drinx na my Ex Alifanya poa tu kuni-ex Siku izi nakuanga tu drinx na mayenx Na maparty asubuhi si lazima sunset Baby mama ako hapa anadai we ni Ex Laleez, wamlambez, marinate marinate niwe gamu tu Niko na drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu Drinx na mayenx Drinx na mayenx, we kamu Si niko na drinx na mayenx Drinks na mayenx, we kamu tu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu Si tuko na drinx na madame Drinx na madame, we kamu tu
Writer(s): Boniface Chege, Eric Lamu Musyoka, Noah Nganga, Brian Mwangi Gitahi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out