Music Video

Dar Kugumu
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Dar Kugumu - Single by Marioo
ALBUMDar Kugumu - SingleMarioo

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter

Lyrics

Nana nana... Dar kugumu kweli Toka nifikie mwaka wa tano ushapita Ila simaanishi nimefeli honey wangu we Nana na Washanikwamishaga matapeli Maswahibu kibao yashanikuta Mpaka leo kupona yote kheri Mpenzi wangu wee Na tumshukuru Maulana aah Tunapumua tunapumua Tia maji tia maji sawa Nilikotoka sio nilipokuwa Hivi vichange vilivyopatikana aah Tutakula na tutatanua aah Tone moja la halali dawa Kuliko kikubwa cha kukwapua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimisii Basi fanya himaa Mwenzio nimekumiss Nimemiss kukuoonaaa Nawe nambie ulichokimiss Subira yako imehusika sana kunizalishia Nikikumbuka nilivokuachaga shidani Sikuona na budi kuhenyeka Yashaiva matunda tuje Kuvuuna aah unanisikii aah Nishazunguka sana kutafuta utajiri Bado sijapata aah Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Maisha sio kutafutana Na muomba Mungu hakosi hata chembe Nilipambanaaaa sana aah Hata na wewe uvumilie eeh Kikubwa Imani tuu uu Nilikuwekee aah Tujee tulee eeh Tuuje tuule eeh Mi na wewe eeh
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out