Music Video

Ruby - Dakika Moja (Official Music Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Top Songs By Ruby

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ruby
Ruby
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ruby
Ruby
Songwriter

Lyrics

Oooh oooh Hey yeiii yeah, Sukari imegeuka chumvi Paka amegeuka chui Matope yamekuwaga vumbi Maziwa yamegeuka tui Kupendana baba ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna thamani, Hey Upendo na mama mama Ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna thamani, Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi Nataka niongee naye Dakika moja tu, Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu Aaaah... Naona kama me nachomwa na jua Usiku mkali, Na maradhi naugua Unanichanganya, Navyo sema nazingua Kisasi na salary, Me nawaza nawazua Aaah, Si ulikubali, kwa kila hali Baba Leo mwisho wa safari, Unarudi nyuma baba Si ulikubali, Kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba Hee, Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake Na mabaya yamo humo Dunia ina maajabu yake Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi nataka niongee naye Dakika moja tu Akichelewa nitasubiri,Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu M Wambie azibe nyufa Akichelewa nitakufa Hey Sawa sawa, Sawa sawa Sawa sawa, Sawa sawa Sawa sawa, Sawa sawa Sawa sawa, Sawa sawa
Writer(s): Ruby Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out