album cover
Wanajisumbua
album cover
Wanajisumbua was released on June 24, 2024 by 7359414 Records DK as a part of the album Wanajisumbua - Single
June 24, 2024
Label7359414 Records DK
LanguageEnglish
BPM101
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Artist: Ruby
Song: Wanajisumbua
Verse 1
Eeeeeeh eeeeeiyeeee oooohhhhh
Acha wanaotuma njiwa, mi nautuma moyo
Na ulimi wangu kuyanena hayaaaaaaa
Goti limejibiwa nimetulia rohooooooo
Kwa mwandani wangu ayaaa yaaah
Tiba ninapougua, uniagua kwa wakati
Eti kunijua raha tabu sipati
Nauvuna muwa, naula hata fundo sikati
Anavyoyajua fundi fundi mahabati
Bridge
Ka naota mwenzenu kama naota
Hata kwa rupia
Kwake siwezi ponyoka (ooooooh)
Ah nishakaa na ndo tushaendana nyota
Kwake natulia ndege wake kwa kiota
Chorus
Oh kama maneno nishaikia sana
Wanajisumbua
Kwake nipo kwa marefu na mapana
Wanajisumbua
Kwakwaru kwakwaru kukuru kama panya
Wanajisumbua
Hizo mbilinge zao wamejichanganya
Wanajisumbua
Verse 2
Kapendezwa na tabia, kitandani nayajua (aaaahh )
Kaniambia ye ameridhia penzi anajipimia, kibaba hujijazia
Amebobea ( aaaahhh) anavyokamia
Na anavyonipatia, raha saaaana
Baba anazichenji gia anakazana
Bridge
Ka naota mwenzenu kama naota
Hata kwa rupia
Kwake siwezi ponyoka
Ah nishakaa na ndo tushaendana nyota
Kwake natulia ndege wake kwa kiota
Chorus
Oh kama maneno nishaikia sana
Wanajisumbua
Kwake nipo kwa marefu na mapana
Wanajisumbua
Kwakwaru kwakwaru kukuru kama panya
Wanajisumbua
Izo mbilinge zao wamejichanganya
Wanajisumbua
Eeeeeeehh eeehhhh oooooohh yeeeeh yeeeeeh oubaaaabaaaa oubaaaabaaa
Written by: Hellen George Majeshi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...