Lyrics

Unapoomba nitaje jina Omba Mungu anikumbuke Ni myonge mimi sina uwezo Kwa maombi tapata nguvu Unapoomba nitaje jina Omba Mungu anikumbuke Ni myonge mimi sina uwezo Kwa maombi tapata nguvu Unapoomba omba kwa imani Maombi atayasikia Unapoomba uwe mnyenyekevu Maombi ata ya jibu Kulala kwetu Kuamka kwetu Kuishi kwetu Ni neema Tumaini letu ni kwako Bwana Abudu Ungama Shukuru kwa dua zetu Tumaini letu ni kwake Bwana Unapoomba omba kwa imani Maombi atayasikia Unapoomba uwe mnyenyekevu Maombi ata ya jibu Mungu ajibu maombi Maombi maombi Mungu ajibu maombi Maombi ya watu wake Uliza (uliza) Amini (Amini) Pokea (Pokea) Shukuru(Shukuru) Lingana ahadi zake Ombi lako litajibiwa Uliza (uliza) Amini (Amini) Pokea (Pokea) Shukuru(Shukuru) Lingana ahadi zake Ombi lako litajibiwa Mungu ajibu maombi Maombi maombi Mungu ajibu maombi Maombi ya watu wake Unapoomba omba kwa imani Maombi atayasikia Unapoomba uwe mnyenyekevu Maombi ata ya jibu Atayajibu
Writer(s): Collins Odiwuor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out