album cover
Machejo
968
World
Machejo was released on August 29, 2019 by MMP Entertainment as a part of the album Machejo - Single
album cover
Release DateAugust 29, 2019
LabelMMP Entertainment
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
DanZak
DanZak
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamdan Al Zakwani
Hamdan Al Zakwani
Songwriter

Lyrics

Intro:
Ey Danny, Mdigo
It’s new Aloneym pon the track
Verse 1:
Baby oh baby oh baby oh
Basi nipe japo nafasi
Mwenzio mwenzio mwenzio
Moyo umeshapandwa na kasi
Nipumbaze kama mjinga
Mi rimoti na we runinga
Nyanya nimeuza kwenye tenga
Baby oh
Mi sibishi we ndio nakupendaga sana
I wish ya moyoni unge yaona
Huko nyuma ni figisu majanga
Ndembe ndembe wa vijora na vanga
Nimezama sio kwa tunguli nyanga
Sio mapembe na nguvu za kiganga
Chorus:
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Interlude:
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Verse 2:
Basi nesa nesa nesa nesa he
Ukichoka kamata ukuta we
Haya nesa nesa nesa nesa he
Babu Juma katuna kwa bukta we
Basi nesa nesa nesa nesa he
Ukichoka kamata ukuta we
Haya nesa nesa nesa nesa he
Babu Juma katuna kwa bukta we
Spidi ya farasi ana kasi kwa bedi
Mtoto manjegeka
Utamu wa nanasi akinipa kinu
Natwanga na kupepeta
Huko nyuma ni figisu majanga
Ndembe ndembe wa vijora na vanga
Nimezama sio kwa tunguli nyanga
Sio mapembe na nguvu za kiganga
Chorus:
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Interlude:
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Wana, wanakomaga habibi
Chorus:
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Ana machejo, akikata akidimia
Machejo, akileta nanin’ginia
Ana machejo, nakamata nan’gan’gania
Machejo, yani moto faya
Outro:
Hahhaa, ati nini
Waambie wachukue roho zao
Wazitie kwenye egzozi
Kata kata, kata bila kunata
Kata usiogope, kata kata
Mpaka kiitike
Written by: Hamdan Al Zakwani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...