Credits

PERFORMING ARTISTS
Mayunga
Mayunga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mayunga Nalimi
Mayunga Nalimi
Songwriter

Lyrics

Oh yeah
Oh yeah, yeah eh
Oh yeah, mhh
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Oh yeah yeah yeah
Ninavyokawazia, katanipa murder case wewe
Nami nakamia, nimenasa sichomoki wewe
Mh, kimo cha ngamia, nikiweka sikukosi wewe
Wazee wa kudandia, watupishe na mikosi
Oh-oh akiwa nami, anavyoniongoza hata gizani
Nishafikia midadi mtoto chumbani
Kwako ninamwaga ye-ye, iye ye
Nishaweka ngao kanipa vitamu nishatosha kiganjani
Wako wazima bao, nishakuwa timamu sina time na visamaki ye-ye, iyee
Chochote unachotaka mimi kwangu sawa
Ushanichanganya na Medulla ye
Na tena ukinigusa mimi hali mbaya ohh
Kwani naona mazigizaga
Naona mazigizaga
Everybody say ninaona mazigizaga ye
Mi naona mazigizaga ah
Baby naona mazigizaga
Inna mi naona mazigizaga
Yo de man say mi naona mazigizaga ye
Mi naona mazigizaga oh
Oh yeye eh, koma yeh
Minakoma yeh, oh yeh
Koma yeh, mi nakoma yeh
Oh-oh yeah, yeah, yeah
Oh zagaya, zagaya ya ya
Ning'inia, bembembea
Siwasikii hata wakiongea
Uking'ang'ana nachochea
Penzi lisilondolee yeh, yeah
Ning'inia, bembembea
Siwasikii hata wakiongea
Uking'ang'ana nachochea
Penzi lisilondolee yeh, yeah
Ah Mungu Baba kaumba bless up yeah
Hapakai hata akifuta make up yeah
Mungu Baba kaumba bless up
Penzi lisilondolee
Chochote unachotaka mimi kwangu sawa
Ushanichanganya na Medulla ye
Na tena ukinigusa mimi hali mbaya oh oh
Kwani naona mazigizaga
Naona mazigizaga
Everybody say ninaona mazigizaga ye
Mi naona mazigizaga ah
Baby naona mazigizaga
Inna mi naona mazigizaga
Yo de man say mi naona mazigizaga ye
Mi naona mazigizaga oh
Oh-oh akiwa nami, anavyoniongoza hata gizani
Nishafikia midadi mtoto chumbani
Kwako ninamwaga ye-ye, iye ye
Written by: Mayunga Nalimi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...