album cover
On Top
1,448
Hip-Hop/Rap
On Top was released on August 8, 2014 by Octopizzo Music as a part of the album EL Classico
album cover
Release DateAugust 8, 2014
LabelOctopizzo Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM90

Credits

PERFORMING ARTISTS
Octopizzo
Octopizzo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Henry Ohanga
Henry Ohanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Henry Ohanga
Henry Ohanga
Producer

Lyrics

Walidhani wakibai subaru watakuwa wameacha legacy, Octo niko juu ya madawa ni kaa nimekalia pharmacy
Brain iko full ata ujinga hiwezi ulizia vacancy, unataka kuwa ka mi? Come YGB then hang na si
Bado unakunywa cham? Eh, zangu ni ma Hennessy, kuja na attitude tukuingize maira, kamasi
Tunawahemesha tunawachochoa wakitokwa na makamasi, mafuta ikiisha tutapita na makaa basi
Ukikula chungwa na ndizi mi nitakula nanasi, niko mbele, wako nyuma ka wafuasi
Reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi, wanakam so slow, ju track iko kasi
Sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi, mtaa naenda na maziwa ju kwa rap game mi ni mzazi
Cost ya kila kitu imepanda, ebu enda Mombasa mtu wangu uulize bei ya mnazi
Number nane wapi? Number nane on top, Octopizzo wapi? Octopizzo on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
YGB wapi? YGB on top, Octopizzo wapi? Octopizzo on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
I spit fire then I let it burn like Usher, kwa rap game nadai cash ka Akasha
First class picnics mnipate Naivash, kuroll na mamodel wasupa ka kina Natasha
Sitembei na wallet, doh kwa bahasha, walijiona the storm sai nawamek rasharasha
Who's smarter now? Si wewe, niko juu yao nawachungulia ka mwewe
Octo A-K-A itisha upewe, YGB A-K-A itisha ulewe
Just a minute wacha nimalize kuchana, na si nywele, ni vijiti
Ka plantation za Kericho, washatii na ka bado itabidi nimewashika mashati
Niwagote ata kuliko wanati, ju ukikuja na ruff game my own ish ni kama batwail
Octo wapi? Octopizzo on top, number nane wapi? Number nane on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
YGB wapi? YGB on top, Octopizzo wapi? Octopizzo on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
Nimetoka Kibera lakini ata nikisota sikopi, hawana style skuizi yangu ndio wanajaribu kucopy
Coz wanaluck originality ka photocopy, si sikizani na paparrazi ju mi ni photophobic
Lakini kwa battle nazidi kuwamada na logic, am so straight Octo mi ni homophobics
Wanadai beef na kwa facebook wako so poky, (Ku-rap sichoki, number nane sitoki)
Boy yuko na flow moja kali ka El-Nino, Bongo mi ni most wanted jo ka albino
Akili ni nywele, linda zako ka mokorino, hiphop kwa damu natumia blood ka wino
Daily huaga nazidi kuexcel ka chino, daily nawachenga zile za ki Ronaldinho
Ka unaumwa sana mtu wangu pia unaeza kunywa ino
Ukinibo sana mtu wangu pia naweza kutukana *##*, K-I double, P-I mambo, sahii niko on the spot ka Radio Jambo
Nakunyanyasa ata kuliko madha wako wa kambo, na ka hujawai jua mtu wangu rap sijaanza kitambo
Nimeanza juzi na tayari niko kwa mitambo, niko used to the machines maze ka Rambo
Wananiogopa, siku hizi wakiniona wanaanza kusitasita ka list ya Ocampo
Octopizzo wapi? Octopizzo on top, number nane wapi? Number nane on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
YGB wapi? YGB on top, Octopizzo wapi? Octopizzo on top
So get that mulla, buy that ndula, say, get that mulla, buy that ndula
Written by: Henry Ohanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...