album cover
Asante Baba
album cover
Asante Baba was released on March 29, 2020 by Independent as a part of the album Asante Baba - Single
March 29, 2020
LabelIndependent
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Hakuna tena mwingine
Mwenye mamlaka kama we
Mfalme wa wafalme ni wewe
Siabudu mwingine
Baba nishike mkono
Ukae na mimi
Usipo nishika mkono
Nitabaki na nani? (Nitabaki na nani?)
Nikitembea nawe Yesu (eeeh)
Nitakuwa salama
Mkono wako utanivushaa (aaaah)
Nikiwa ndani ya YESU
Sipo kama wengine
Sipo kama wengine
Unanifanya wa tofauti
ASANTE BABA (eeeeh)
ASANTE BABA (eeeeh)
YESU uuu
ASANTE BABA ×2
Aaaaa Santee
Nikitafakari njia zangu
Nikitazama mapito yangu
Nakuona wewe
Baba nakuona weweee
Nilidharaulika (sanaaa)
Sikukubalika (Oh sanaaa)
Nilisahaulika
Lakini we ulinikumbuka (Lakini we ulinikunbuka)
Sina Neno
Uweponi mwako
Mimi nasikia rahaa ×2
ASANTE BABA (eeeh)
ASANTE BABA (Eeeeh)
YESU uuu
ASANTE BABA
Asante Baba
Ni kwa mkono wako
Umenivusha
Written by: Asagwile Mwasongwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...