Lyrics

Eeey Uuuh Nakupenda Mpenzi wangu Eei Ni wewe nilichagua Ni wewe nilipenda Ni wewe moyoni mwangu Ni wewe mpenzi wangu Rafiki wangu wa dhati Nakupenda Your eyes are the most beautiful blue The prize I've won in life is indeed you I surmise that no doubt that such is true It's no guise, everyday to me you rise in value Wise beyond your years, it's you I look up to The highs are many, and the lows are few Action you catalyze, fun you do imbue Uncertainty you stabilize, energy you renew Now I realize we're connective tissue As sadness and cries you always subdue Me you mesmerize like a shimmering dew Affection you exercise to jump this kangaroo Ni wewe, kumekuwa hivyo milele Ikiwa kuna kimya au kelele What to do, it's always been you It's a hard fact that I love you Aaai Tumetoka mbali na wewe Milima tumepanda Miteremko tumeshuka Maishani Nimeteleza matopeni Ukanishika mkono Ukanivuta nje Mpenzi Ni wewe nilichagua Ni wewe nilipenda Ni wewe moyoni mwangu Ni wewe mpenzi wangu Rafiki wangu wa dhati Nakupenda Kutayarisha chai, kunipa joto usiku Unanionyesha udhaifu kuwa nguvu Ukiweka yai kabla ya kuku Mpenzi nakudai unaleta bahati kwangu Unang'arisha uhai, ninafahamu Sababu walai zinzazozuia taabu Naota kuzekai kuwa nyanya na babu Kutunzai, kufunzai wajukuu Warastafari wanasema vitu Vya maanai vinaundwa na jitu Kuheshimu dunai ni muhimu Sisi si tofautai ka chungwa na dimu Ni wewe nilichagua Ni wewe nilipenda Ni wewe moyoni mwangu Ni wewe mpenzi wangu Rafiki wangu wa dhati Nakupenda sana
Writer(s): Jason Dunford, Justo Asikoye Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out