Lyrics

Masauti, Kenyan Boy Lava Lava beiby (Motif di don) Ooh beiby ning'ate shingo (shingo) Tuwache ma love love bite (love bite) Wajue sipo single (single) Wakiniona nawe wazirai(wazirai) Ukitembea nyuma bingi bingiri Kitovuni kipini shanga bangiri Unanipaga mi kiwiliwili Tukiwa wawili wawili wawili Miuno kihindi chorichori Unavyojua kulisaga kachiri Unanipaga mi kiwiliwili Tukiwa wawili wawili wawili Waonyeshe unavyo ndondosha Ka portable kiuno mbambucha Wamerauka mi nikikesha Walikutaka wakakukosa (eeeh eeh eeh) Ndondosha, idondoshe iyo, idondoshe iyo Ndondosha, ndondoke iyo Idondoshe, indondoke iyo Ndondosha, dondoshe iyo, dondoshe iyo Ndondosha, indondoke iyo Idondoshe, indondoke iyo Aya ndondosha, krikiti kata Kiuno binjuka ndo unanikosha Hapo swadakta, fanya unabinuka Basi ndondosha, si dimba chakacha Ndumange ghapuka, Wali ndondosha Fanya kunichachafya, nizidi wehuka eeh Nyonga umejaaliwa, kakupa mama Utamu sukari ya miwa, uko mwanana Kweli umetunukiwa, we mwana laana Komesha wanao kufisia he Waonyeshe haya dede dede de (Haii we) Nyonga nisogeze (Haii we) Nisebenze benze (Haii Wee) Haya dibebe bebe (Haii we) Jifanye una dege dege (Haii we) Ilegeze geze (Haii we) Ndondosha, idondoshe iyo, idondoshe iyo Ndondosha, indondoke iyo Idondoshe, indondoke iyo Ndondosha, idondoshe iyo, idondoshe iyo Ndondosha, ndondoke iyo Idondoshe, ndondoke iyo Heehe Mi nataka nichungulie Aaah nichungulie Inama nichungulie Aaah nichungulie Inuka kwa juu, tetemesha Aaah nichungulie Inama nichungulie Aaah nichungulie Ama unatwanga unapepeta Aaah nichungulie Inama nichungulie Aaah nichungulie Nipe nilambe (wamlambez) Aaah nichungulie Inama nichungulie Aaah nichungulie Nipe ninyonye (Wamnyonyez)
Writer(s): Morris Kobia Lyria Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out