Lyrics

Usinambie, kwa namba za huzuni; Life is but an empty dream! Kwani, nafsi ilolala ni hayati; And things are not what they seem Bila shaka utasimama; Mumea ulopandwa kwa mto Siku yako itafika; Majani mabichi utalazwa Kuwa na roho, moyo, sura kama simba; Ipige moyo konde ufwate mwito Nifundishe! Niongoze! Kukujua wewe hekima Baba! Would you be my guide my Father Lord Waweza kuwa, yeyote unayependa; Bora uwe mwaminifu kwa Rabana There's no shame! Dontchu fear my friend; Hakuna dhambi hawezi ifuta Bila shaka una neema; Mumea ulopandwa kwa mto; Kama mlima sing'oki; Majani mabichi hunilaza Kuwa na ujanja, ari, macho kama tai; Kuwa nayo nayo, sako kwa bako Nifundishe! Niongoze! Kukujua wewe hekima Baba! Would you be my guide my Father Lord
Writer(s): Don Santo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out