album cover
Afrika
album cover
Afrika was released on July 17, 2020 by 2214456 Records DK as a part of the album Afrika
AlbumAfrika
July 17, 2020
Label2214456 Records DK
BPM113
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Afrika
Ni wakati wako
[Verse 1]
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Wasomali na Wakongo
Warwanda na Waganda
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Wanaijeria, Zimbabwe
Na Liberia, Wamoroko
[Chorus]
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
[Verse 2]
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Wakikuyu, na Wakamba
Wajaluo, na Waluhya
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Wamasai, Wameru
Wapokomo, Mijikenda
[Chorus]
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
[Verse 3]
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Madagascar, Afrika Kusini
Senegali, Namibia
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Tanzania, Burundi
Angola, Komoro
[Chorus]
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
[Verse 4]
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Kikuyu
Kikamba
Kijaluo
Kimasai
[Chorus]
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa kucheza, na shangwe
[Outro]
Praise him with nyatiti
Praise him with kayamba
Praise him with wadede
Karenga renga
Praise him with nyatiti
Praise him with kayamba
Praise him with wadede
Karenga renga
Praise him with nyatiti
Praise him with kayamba
Praise him with wadede
Karenga renga
Praise him with nyatiti
Praise him with kayamba
Praise him with wadede
Karenga renga
Karenga renga karenga renga
Karenga renga karenga renga
Karenga renga karenga renga
Karenga renga karenga renga
Karenga renga karenga renga
Karenga renga renga karenga renga
Karenga renga renga karenga renga
Karenga renga renga karenga renga
Written by: Afrika, Rev. Kathy Kiuna
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...