album cover
Kamwe
93
R&B/Soul
Kamwe was released on August 5, 2020 by 1285758 Records DK as a part of the album Kamwe - Single
album cover
Release DateAugust 5, 2020
Label1285758 Records DK
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM78

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Meltus Method Mujwahuzi
Meltus Method Mujwahuzi
Songwriter

Lyrics

Usiku wa jana
Nilinyoosha mikono
Bila shaka ulikuwa
Usiku bora
Kati ya chupa ya mvinyo
Nikiangalia macho yako
Mziki ukipigwa tukisikiliza
Nyimbo nzuri ghana ya zilipendwa
Tukacheza kwenye giza
Chini ya nyota za Septemba
Huku mvua ikimiminika nyoyo zetu zimejaa neema
Na najuaa siwezi milele
Kukwambia maneno ya kutosha kukuelezaa
Kuwa haja yangu maishani ni upendo wako
Eiiii haaaa
Kamwe nikishindwa ona taa ya kaskazini
Kamwe ee nikishindwa ona mlima Kilimanjaro
Lakini tukishikana mikono
Hata nikifa nitakufa na furaha moyoni
Kamwe nikishindwa ona taa ya kaskazini
Kamwe ee nikishindwa ona mlima Kilimanjaro
Lakini tukishikana mikono
Hata nikifa nitakufa na furaha moyoni
Hiyeeiiiyeeeii
Hoooooouyeeii
Huuuaaiyeeiyeiyeiyeeeeii
Hoooooooo
Nitakupenda milele
Mpenzi usipuuzee
Moyo wangu nauweka kwako utunze
Maana haja yangu nikuishi na wewe
Milele na milele eiyeeii
Uwoouuuuuu
Najuaa siwezi milele
Kukwambia maneno ya kutosha kukuelezaa
Kuwa haja yangu maishani ni upendo wako uuuuu
Heeiyeeii
Hoooo ouwo
Kamwe nikishindwa ona taa ya kaskazini
Kamwe ee nikishindwa ona mlima Kilimanjaro
Lakini tukishikana mikono
Hata nikifa nitakufa na furaha moyoni
Kamwe nikishindwa ona taa ya kaskazini
Kamwe ee nikishindwa ona mlima Kilimanjaro
Lakini tukishikana mikono
Hata nikifa nitakufa na furaha moyoni
Hiyeiyeeeyeeeiiii
Hoooooouwouuwouuu
Furaha
Na furaha moyoni
Weiiiiiiii furahaaa
Furaahaaaaa
Heeee
Furaha moyoni
Lakini tukishikana mikono
Hata nikifa nitakufa na furaha moyoni
Written by: Meltus Method Mujwahuzi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...