Lyrics

Iliyopondeka Itetemekayo Iliyofunguka Watoto wako Bwana Tuko mbele zako tunaomba Uponye mioyo yetu Utufanye upya tena Watoto wako Bwana Tumekusanyika tunaomba Uponye mioyo yetu Utufanye upya tena Fungua Mioyo yetu Bwana iponye Fungua Mioyo yetu Bwana ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Fungua, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Bwana, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Fungua, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Bwana, ipone Najua unapendezwa Na moyo ule uliopondeka Utetemekao pale usikiapo neno lako Najua unapendezwa Na moyo ule uliopondeka Utetemekao pale usikiapo neno lako Fungua Mioyo yetu Bwana ipone Yesu fungua Mioyo yetu Bwana ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Fungua, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Bwana, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Fungua, ipone Fungua, fungua Mioyo yetu Bwana, ipone Mioyo Iliyopondeka Mioyo Itetemekayo Mioyo Iliyofunguka Mioyo Iliyopondeka Mioyo Itetemekayo Mioyo Iliyofunguka Iliyopondeka Itetemekayo
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out