Lyrics

Najua, mmh, najua, nitaona mazuri Najua, mi najua, nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah, ah Nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah Nitaona mazuri Na sufuria zangu, lazima zitapika nyama siku moja Na hii mikoni yangu, lazima iendeshe gari siku moja Na hii miguu yangu, lazima ikanyage ng'ambo siku moja Na majirani zangu, lazima wataniheshimu siku moja Kuna vile vitu zitakuwa better one day 'Pate furaha, kasmile kabetter one day Wazazi wa bibi wamepanga aende Life yangu iko dry, rafiki zangu ni mende, ay, ayi Bora imani yangu isimame (simame) Nitaona mema, si hasara (sara) Bora Imani yangu isimame (simame) Nitaona mema, si hasara Hata kama (kama) mazuri yote sitayaona hapa Najua (najua), na siku moja, nitamuona Baba Hata kama (kama) mazuri yote sitayaona hapa Najua (najua), siku moja, nitamuona Baba Najua, mmh, najua, nitaona mazuri Najua, mi najua, nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah, ah Nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah Nitaona mazuri Maombi yangu, anayasikia (mmh) Nina imani atanijibia (mmh) Walonicheka na kunichukia, (mmh) Nitashinda, watashangilia (mmh) Eh, maombi yangu, anayasikia Nina imani atanijibia Walonicheka na kunichukia, Nitashinda, watashangilia, eh Oh, na jina? He, atanibadilisha jina (atanibadilisha jina) Na hekima, oh, anipe bila kupima (bila kupima) Nina walionisaliti, nikae nao fiti Hilo ndio ombi langu Ninao marafiki, anipe wafiti Hilo ndio ombi langu Hey, mazuri, mazuri, nitaona, na, na Mazuri, mazuri, nitaona na, na, hey Najua, mmh, najua, nitaona mazuri Najua, mi najua, nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah, ah Nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah Nitaona mazuri Najua, mmh, najua, nitaona mazuri Najua, mi najua, nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah, ah Nitaona mazuri Mazuri, mazuri, ah Nitaona mazuri Eh, mazuri, eh, eh, eh, eh Mazuri, eh, eh, eh Mazuri, eh, eh, eh Na nitaona Na nitaona, ah, ah Nitaona, ah Na nitaona, ah, ah, ah Mazuri
Writer(s): James Muhia Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out