album cover
Chozi
Music
Chozi was released on October 17, 2020 by Oval Africa as a part of the album Chozi - Single
album cover
Release DateOctober 17, 2020
LabelOval Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Tunda Man
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Khalidi Ramadhani
Khalidi Ramadhani
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Wanawake mna mioyo
Tena ya uvumilivu
Mwanamke akipenda anabeba makali maumivu
Hata kama ukimtenda mwenzaako moyo wake unavumilia
Anaweza akakuchekea kumbe moyoni anaumia
Penzi ni kama siti ya basi
Ukitoka wenzako wanajinafasi
Usiombe mwanamke aseme basi
Kamwe hawezi kukuridia
Mwanamke akipenda anapenda kiukweli na haigizi
Anaridhika na mmoja alonaye hana tabia za wizi wizi
[Chorus]
We la mwanamke chozi chozi
Ah lichunge lisidondoke chozi
Ah lidhamini chozi chozi
Ah lichunge lisidondoke chozi
[Verse 2]
Mwanaume lijali anajishusha
Hata kama kosa sio lake
Mwanaume hafai kukurupuka
Kosa kuwapiga wanawake
Ucheve, mwanaume kujiamini
Kuwa na piece moja ya kuaminia
Usiwe kama Almans anawazalisha anawakimbia
Bora uwe ma J
Kamvisha pete hamuoi haongei
Lulu kama kelele husogei
Dakika tisini mechi kali hukosei putululu
Mwanamke akikuvulia na akikununia
We hela inatosha
Ogopa sana akiumia na akikwambia we inatosha
[Chorus]
We la mwanamke chozi chozi
Ah lichunge lisidondoke chozi
Ah lidhamini chozi chozi
Ah lichunge lisidondoke chozi
[Outro]
Akikasirika we mbembeleze, yeah yeah mbembeleze
Akikasirika we mnyengeze, ooh we mnyegeze
Eeeh we mbembeleze, ayaa we mdekeze
Written by: Khalidi Ramadhani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...