Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nahash Mwathi
Nahash Mwathi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nahash Mwathi
Nahash Mwathi
Songwriter

Lyrics

Kule nitokako ni giza
Kule niendako ni giza
Kule nitotako si kwema hata we!
Nani aweza kunipenda mimi eh?
Kama si wewe, kunisamehe dhambi
Kama si wewe ningekuwa wapi?
Kanitoa gereza, mfungwa bila tumaini
Nina nuru Gizani
Waniita njoo tujadili
Wataka kunitoa dhambini
Japo ninao uoga mi nakuja eh
Siwezi endelea bila nuru eh!
Kama si wewe (Kama si wewe) kunisamehe dhambi
Kama si wewe (Kama si wewe) ningekuwa wapi?
Kanitoa gereza (ni) mfungwa bila tumaini
Nina nuru Gizani
Na kama si yeye (kama si yeye) kukusamehe dhambi
Na kama si yeye (kama si yeye) ungekuwa wapi?
Kakutoa gerezani, mfungwa bila tumaini
Una nuru Gizani, hey!
Tuna nuru gizani
Kanitoa gerezani mwa dhambi na sasa
Nina nuru Gizani
Written by: Nahash Mwathi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...